Marko 15:7
Mark 15:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakati huo, mtu aliyeitwa Baraba alikuwa amefungwa gerezani pamoja na waasi wengine waliokuwa wametekeleza uuaji wakati wa maasi.
Mark 15:7 in English
Mark 15:7 · Berean Standard Bible
And a man named Barabbas was imprisoned with the rebels who had committed murder during the insurrection.
Context
5Lakini Yesu hakujibu lolote, hivyo Pilato akashangaa. 6Ilikuwa desturi wakati wa Sikukuu ya Pasaka kumfungulia mfungwa yeyote ambaye watu wangemtaka. 7Wakati huo, mtu aliyeitwa Baraba alikuwa amefungwa gerezani pamoja na waasi wengine waliokuwa wametekeleza uuaji wakati wa maasi. 8Ule umati wa watu ukamjia Pilato na kumwomba awafanyie kama ilivyokuwa desturi yake. 9Pilato akawauliza, “Mnataka niwafungulie huyu Mfalme wa Wayahudi?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.