Native Bible

Mark 15:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Pilato akawauliza, “Mnataka niwafungulie huyu Mfalme wa Wayahudi?”

Mark 15:9 in English

Mark 15:9 · Berean Standard Bible

“Do you want me to release to you the King of the Jews?” Pilate asked.

Context

7Wakati huo, mtu aliyeitwa Baraba alikuwa amefungwa gerezani pamoja na waasi wengine waliokuwa wametekeleza uuaji wakati wa maasi. 8Ule umati wa watu ukamjia Pilato na kumwomba awafanyie kama ilivyokuwa desturi yake. 9Pilato akawauliza, “Mnataka niwafungulie huyu Mfalme wa Wayahudi?” 10Kwa maana yeye alitambua kuwa viongozi wa makuhani walikuwa wamemtia Yesu mikononi mwake kwa ajili ya wivu. 11Lakini viongozi wa makuhani wakauchochea ule umati wa watu wamwombe awafungulie Baraba badala yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.