Native Bible

Mark 15:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana yeye alitambua kuwa viongozi wa makuhani walikuwa wamemtia Yesu mikononi mwake kwa ajili ya wivu.

Mark 15:10 in English

Mark 15:10 · Berean Standard Bible

For he knew it was out of envy that the chief priests had handed Jesus over.

Context

8Ule umati wa watu ukamjia Pilato na kumwomba awafanyie kama ilivyokuwa desturi yake. 9Pilato akawauliza, “Mnataka niwafungulie huyu Mfalme wa Wayahudi?” 10Kwa maana yeye alitambua kuwa viongozi wa makuhani walikuwa wamemtia Yesu mikononi mwake kwa ajili ya wivu. 11Lakini viongozi wa makuhani wakauchochea ule umati wa watu wamwombe awafungulie Baraba badala yake. 12Pilato akawauliza tena, “Basi mnataka nifanye nini na huyu mtu mnayemwita Mfalme wa Wayahudi?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.