Marko 15:5
Mark 15:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini Yesu hakujibu lolote, hivyo Pilato akashangaa.
Mark 15:5 in English
Mark 15:5 · Berean Standard Bible
But to Pilate’s amazement, Jesus made no further reply.
Context
3Viongozi wa makuhani wakamshtaki kwa mambo mengi. 4Pilato akamuuliza tena, “Je, huna la kujibu? Tazama ni mashtaka mangapi wanayaleta juu yako.” 5Lakini Yesu hakujibu lolote, hivyo Pilato akashangaa. 6Ilikuwa desturi wakati wa Sikukuu ya Pasaka kumfungulia mfungwa yeyote ambaye watu wangemtaka. 7Wakati huo, mtu aliyeitwa Baraba alikuwa amefungwa gerezani pamoja na waasi wengine waliokuwa wametekeleza uuaji wakati wa maasi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.