Native Bible

Mark 14:57 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo wengine wakasimama wakatoa ushahidi wa uongo dhidi yake, wakisema:

Mark 14:57 in English

Mark 14:57 · Berean Standard Bible

Then some men stood up and testified falsely against Him:

Context

55Viongozi wa makuhani na Baraza la Wayahudi* lote wakatafuta ushahidi dhidi ya Yesu ili wapate kumuua. Lakini hawakupata jambo lolote. 56Wengi walitoa ushahidi wa uongo dhidi yake, lakini maelezo yao hayakukubaliana. 57Ndipo wengine wakasimama wakatoa ushahidi wa uongo dhidi yake, wakisema: 58“Sisi tulimsikia akisema, ‘Mimi nitalibomoa Hekalu hili lililojengwa na wanadamu, na katika siku tatu nitajenga jingine ambalo halikujengwa na wanadamu.’ ” 59Lakini hata hivyo, ushahidi wao haukukubaliana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.