Marko 14:55
Mark 14:55 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Viongozi wa makuhani na Baraza la Wayahudi* lote wakatafuta ushahidi dhidi ya Yesu ili wapate kumuua. Lakini hawakupata jambo lolote.
Mark 14:55 in English
Mark 14:55 · Berean Standard Bible
Now the chief priests and the whole Sanhedrin * were seeking testimony against Jesus to put Him to death, but they did not find any.
Context
53Wakampeleka Yesu kwa kuhani mkuu, nao viongozi wa makuhani wote, na wazee na walimu wa sheria wote wakakusanyika pamoja. 54Petro akamfuata kwa mbali, hadi uani kwa kuhani mkuu. Huko akaketi pamoja na walinzi, akiota moto. 55Viongozi wa makuhani na Baraza la Wayahudi* lote wakatafuta ushahidi dhidi ya Yesu ili wapate kumuua. Lakini hawakupata jambo lolote. 56Wengi walitoa ushahidi wa uongo dhidi yake, lakini maelezo yao hayakukubaliana. 57Ndipo wengine wakasimama wakatoa ushahidi wa uongo dhidi yake, wakisema:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.