Marko 11:9
Mark 11:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha wale waliokuwa wametangulia mbele na wale waliokuwa wakifuata nyuma wakapaza sauti, wakisema, “Hosana!”* “Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana!”
Mark 11:9 in English
Mark 11:9 · Berean Standard Bible
The ones who went ahead and those who followed were shouting: “Hosanna!”* “Blessed is He who comes in the name of the Lord!”*
Context
7Kisha wakamleta huyo mwana-punda kwa Yesu na kutandika mavazi yao juu yake, naye akampanda. 8Watu wengi wakatandaza mavazi yao barabarani, na wengine wakatandaza matawi waliyokuwa wamekata mashambani. 9Kisha wale waliokuwa wametangulia mbele na wale waliokuwa wakifuata nyuma wakapaza sauti, wakisema,
“Hosana!”*
“Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana!” 10“Umebarikiwa Ufalme unaokuja wa baba yetu Daudi!”
“Hosana kwake yeye aliye juu!” 11Yesu akaingia Yerusalemu na kwenda Hekaluni. Akaangalia kila kitu kilichokuwamo, lakini kwa kuwa ilishakuwa jioni, akaenda zake Bethania pamoja na wale kumi na wawili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.