Native Bible

Mark 11:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Umebarikiwa Ufalme unaokuja wa baba yetu Daudi!” “Hosana kwake yeye aliye juu!”

Mark 11:10 in English

Mark 11:10 · Berean Standard Bible

“Blessed is the coming kingdom of our father David!” “Hosanna in the highest!”*

Context

8Watu wengi wakatandaza mavazi yao barabarani, na wengine wakatandaza matawi waliyokuwa wamekata mashambani. 9Kisha wale waliokuwa wametangulia mbele na wale waliokuwa wakifuata nyuma wakapaza sauti, wakisema, “Hosana!”* “Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana!” 10“Umebarikiwa Ufalme unaokuja wa baba yetu Daudi!” “Hosana kwake yeye aliye juu!” 11Yesu akaingia Yerusalemu na kwenda Hekaluni. Akaangalia kila kitu kilichokuwamo, lakini kwa kuwa ilishakuwa jioni, akaenda zake Bethania pamoja na wale kumi na wawili. 12Kesho yake walipokuwa wakitoka Bethania, Yesu alikuwa na njaa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.