Marko 10:36
Mark 10:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Naye akawaambia, “Je, mwataka niwafanyie jambo gani?”
Mark 10:36 in English
Mark 10:36 · Berean Standard Bible
“What do you want Me to do for you?” He inquired.
Context
34ambao watamdhihaki na kumtemea mate, watampiga na kumuua. Siku tatu baadaye atafufuka.” 35Kisha Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, wakaja kwake na kumwambia, “Mwalimu, tunataka utufanyie lolote tutakalokuomba.” 36Naye akawaambia, “Je, mwataka niwafanyie jambo gani?” 37Wakamwambia, “Tupe kukaa mmoja upande wako wa kuume na mwingine upande wako wa kushoto katika utukufu wako.” 38Lakini Yesu akawaambia, “Ninyi hamjui mnaloliomba. Je, mnaweza kukinywea kikombe ninyweacho mimi, au kubatizwa ubatizo nibatizwao mimi?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.