Marko 10:3
Mark 10:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akawajibu, “Je, Mose aliwaamuru nini?”
Mark 10:3 in English
Mark 10:3 · Berean Standard Bible
“What did Moses command you?” He replied.
Context
1Yesu akaondoka huko, akavuka Mto Yordani, akaenda sehemu za Uyahudi. Umati mkubwa wa watu ukaenda kwake tena, naye kama ilivyokuwa desturi yake, akawafundisha. 2Baadhi ya Mafarisayo wakaja ili kumjaribu kwa kumuuliza, “Je, ni halali mtu kumwacha mke wake?” 3Yesu akawajibu, “Je, Mose aliwaamuru nini?” 4Wakajibu, “Mose aliruhusu kwamba mume anaweza kumwandikia mkewe hati ya talaka na kumwacha.” 5Yesu akawaambia, “Mose aliwaandikia sheria hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.