Marko 10:2
Mark 10:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baadhi ya Mafarisayo wakaja ili kumjaribu kwa kumuuliza, “Je, ni halali mtu kumwacha mke wake?”
Mark 10:2 in English
Mark 10:2 · Berean Standard Bible
Some Pharisees came to test Him. “Is it lawful for a man to divorce his wife?” they inquired.
Context
1Yesu akaondoka huko, akavuka Mto Yordani, akaenda sehemu za Uyahudi. Umati mkubwa wa watu ukaenda kwake tena, naye kama ilivyokuwa desturi yake, akawafundisha. 2Baadhi ya Mafarisayo wakaja ili kumjaribu kwa kumuuliza, “Je, ni halali mtu kumwacha mke wake?” 3Yesu akawajibu, “Je, Mose aliwaamuru nini?” 4Wakajibu, “Mose aliruhusu kwamba mume anaweza kumwandikia mkewe hati ya talaka na kumwacha.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.