Native Bible

Mark 10:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akawaambia, “Mose aliwaandikia sheria hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.

Mark 10:5 in English

Mark 10:5 · Berean Standard Bible

But Jesus told them, “Moses wrote this commandment for you because of your hardness of heart.

Context

3Yesu akawajibu, “Je, Mose aliwaamuru nini?” 4Wakajibu, “Mose aliruhusu kwamba mume anaweza kumwandikia mkewe hati ya talaka na kumwacha.” 5Yesu akawaambia, “Mose aliwaandikia sheria hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu. 6Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, ‘Mungu aliwaumba mwanaume na mwanamke. 7Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja.’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.