Mika 6:1
Micah 6:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sikiliza asemalo Bwana: “Simama, tetea shauri lako mbele ya milima; vilima na visikie lile unalotaka kusema.
Micah 6:1 in English
Micah 6:1 · Berean Standard Bible
Hear now what the LORD says: “Arise, plead your case before the mountains, and let the hills hear your voice.
Context
1Sikiliza asemalo Bwana:
“Simama, tetea shauri lako mbele ya milima;
vilima na visikie lile unalotaka kusema. 2Sikilizeni, ee milima, mashtaka ya Bwana,
sikilizeni, enyi misingi ya milele ya dunia.
Kwa kuwa Bwana ana shauri dhidi ya watu wake;
anatoa mashtaka dhidi ya Israeli. 3“Watu wangu, nimewatendea nini?
Nimewalemea kwa jinsi gani? Mnijibu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.