Native Bible

Matthew 8:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu alipoingia Kapernaumu, jemadari mmoja alimjia, kumwomba msaada,

Matthew 8:5 in English

Matthew 8:5 · Berean Standard Bible

When Jesus had entered Capernaum, a centurion came and pleaded with Him,

Context

3Yesu akanyoosha mkono wake akamgusa yule mtu, akamwambia, “Nataka. Takasika!” Mara yule mtu akatakasika ukoma wake. 4Kisha Yesu akamwambia, “Hakikisha humwambii mtu yeyote. Lakini nenda ukajionyeshe kwa kuhani, na utoe sadaka aliyoamuru Mose, ili kuwa ushuhuda kwao.” 5Yesu alipoingia Kapernaumu, jemadari mmoja alimjia, kumwomba msaada, 6akisema, “Bwana, mtumishi wangu amelala nyumbani na amepooza, tena ana maumivu makali ya kutisha.” 7Yesu akamwambia, “Nitakuja na kumponya.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.