Mathayo 8:6
Matthew 8:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
akisema, “Bwana, mtumishi wangu amelala nyumbani na amepooza, tena ana maumivu makali ya kutisha.”
Matthew 8:6 in English
Matthew 8:6 · Berean Standard Bible
“Lord, my servant * lies at home, paralyzed and in terrible agony.”
Context
4Kisha Yesu akamwambia, “Hakikisha humwambii mtu yeyote. Lakini nenda ukajionyeshe kwa kuhani, na utoe sadaka aliyoamuru Mose, ili kuwa ushuhuda kwao.” 5Yesu alipoingia Kapernaumu, jemadari mmoja alimjia, kumwomba msaada, 6akisema, “Bwana, mtumishi wangu amelala nyumbani na amepooza, tena ana maumivu makali ya kutisha.” 7Yesu akamwambia, “Nitakuja na kumponya.” 8Lakini yule jemadari akamwambia, “Bwana, mimi sistahili wewe kuingia chini ya dari yangu. Lakini sema neno tu, naye mtumishi wangu atapona.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.