Native Bible

Matthew 8:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akamwambia, “Nitakuja na kumponya.”

Matthew 8:7 in English

Matthew 8:7 · Berean Standard Bible

“I will go and heal him,” Jesus replied.

Context

5Yesu alipoingia Kapernaumu, jemadari mmoja alimjia, kumwomba msaada, 6akisema, “Bwana, mtumishi wangu amelala nyumbani na amepooza, tena ana maumivu makali ya kutisha.” 7Yesu akamwambia, “Nitakuja na kumponya.” 8Lakini yule jemadari akamwambia, “Bwana, mimi sistahili wewe kuingia chini ya dari yangu. Lakini sema neno tu, naye mtumishi wangu atapona. 9Kwa kuwa mimi mwenyewe ni mtu niliyewekwa chini ya mamlaka, nikiwa na askari chini yangu. Nikimwambia huyu, ‘Nenda,’ yeye huenda; na mwingine nikimwambia, ‘Njoo,’ yeye huja. Nikimwambia mtumishi wangu, ‘Fanya hivi,’ yeye hufanya.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.