Mathayo 28:17
Matthew 28:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walipomwona, wakamwabudu; lakini baadhi yao wakaona shaka.
Matthew 28:17 in English
Matthew 28:17 · Berean Standard Bible
When they saw Him, they worshiped Him, but some doubted.
Context
15Kwa hiyo wale askari wakazipokea hizo fedha nao wakafanya kama walivyoelekezwa. Habari hii imeenea miongoni mwa Wayahudi mpaka leo. 16Basi wale wanafunzi kumi na mmoja wakaenda hadi Galilaya kwenye ule mlima ambao Yesu alikuwa amewaagiza. 17Walipomwona, wakamwabudu; lakini baadhi yao wakaona shaka. 18Yesu akawajia na kusema, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. 19Kwa sababu hii, enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.