Native Bible

Matthew 28:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa sababu hii, enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu,

Matthew 28:19 in English

Matthew 28:19 · Berean Standard Bible

Therefore go and make disciples * of all nations, baptizing them in the name of the Father, and of the Son, and of the Holy Spirit,

Context

17Walipomwona, wakamwabudu; lakini baadhi yao wakaona shaka. 18Yesu akawajia na kusema, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. 19Kwa sababu hii, enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, 20nanyi wafundisheni kuyashika mambo yote niliyowaamuru ninyi. Hakika mimi niko pamoja nanyi siku zote, hadi mwisho wa nyakati.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.