Native Bible

Matthew 28:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

nanyi wafundisheni kuyashika mambo yote niliyowaamuru ninyi. Hakika mimi niko pamoja nanyi siku zote, hadi mwisho wa nyakati.”

Matthew 28:20 in English

Matthew 28:20 · Berean Standard Bible

and teaching them to obey all that I have commanded you. And surely I am with you always, even to the end of the age.”

Context

18Yesu akawajia na kusema, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. 19Kwa sababu hii, enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, 20nanyi wafundisheni kuyashika mambo yote niliyowaamuru ninyi. Hakika mimi niko pamoja nanyi siku zote, hadi mwisho wa nyakati.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.