Mathayo 28:16
Matthew 28:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi wale wanafunzi kumi na mmoja wakaenda hadi Galilaya kwenye ule mlima ambao Yesu alikuwa amewaagiza.
Matthew 28:16 in English
Matthew 28:16 · Berean Standard Bible
Meanwhile, the eleven disciples went to Galilee, to the mountain Jesus had designated.
Context
14Kama habari hizi zikimfikia mtawala, sisi tutamwondolea mashaka nanyi hamtapata tatizo lolote.” 15Kwa hiyo wale askari wakazipokea hizo fedha nao wakafanya kama walivyoelekezwa. Habari hii imeenea miongoni mwa Wayahudi mpaka leo. 16Basi wale wanafunzi kumi na mmoja wakaenda hadi Galilaya kwenye ule mlima ambao Yesu alikuwa amewaagiza. 17Walipomwona, wakamwabudu; lakini baadhi yao wakaona shaka. 18Yesu akawajia na kusema, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.