Native Bible

Matthew 27:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakamtemea mate, wakachukua ile fimbo wakampiga kichwani tena na tena.

Matthew 27:30 in English

Matthew 27:30 · Berean Standard Bible

Then they spit on Him and took the staff and struck Him on the head repeatedly.

Context

28Wakamvua nguo zake na kumvika vazi la rangi nyekundu, kisha 29wakasokota taji ya miiba, wakaiweka kichwani pake. Wakamwekea fimbo katika mkono wake wa kuume, na wakapiga magoti mbele zake na kumdhihaki, wakisema, “Salamu, mfalme wa Wayahudi!” 30Wakamtemea mate, wakachukua ile fimbo wakampiga kichwani tena na tena. 31Baada ya kumdhihaki, wakamvua lile joho, wakamvika tena nguo zake. Kisha wakampeleka ili wakamsulubishe. 32Walipokuwa wakienda, wakakutana na mtu mmoja kutoka Kirene, jina lake Simoni, nao wakamlazimisha kuubeba ule msalaba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.