Mathayo 27:10
Matthew 27:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
wakanunulia shamba la mfinyanzi, kama vile Bwana alivyoniagiza.”
Matthew 27:10 in English
Matthew 27:10 · Berean Standard Bible
and they gave them for the potter’s field, as the Lord had commanded me.”*
Context
8Hii ndiyo sababu lile shamba likaitwa Shamba la Damu hadi leo. 9Ndipo likatimia lile lililonenwa na nabii Yeremia, kwamba, “Walichukua vile vipande thelathini vya fedha, thamani aliyopangiwa na watu wa Israeli, 10wakanunulia shamba la mfinyanzi, kama vile Bwana alivyoniagiza.” 11Wakati huo Yesu akiwa amesimama mbele ya mtawala, mtawala akamuuliza, “Wewe ndiye mfalme wa Wayahudi?”
Yesu akasema, “Wewe wasema hivyo.” 12Lakini viongozi wa makuhani na wazee walipomshtaki, hakujibu neno.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.