Native Bible

Matthew 27:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hii ndiyo sababu lile shamba likaitwa Shamba la Damu hadi leo.

Matthew 27:8 in English

Matthew 27:8 · Berean Standard Bible

That is why it has been called the Field of Blood to this day.

Context

6Wale viongozi wa makuhani wakazichukua zile fedha wakasema, “Si halali kuchanganya fedha hizi na sadaka kwa sababu hizi ni fedha zenye damu.” 7Kwa hiyo baada ya kushauriana, waliamua kuzitumia kununulia shamba la mfinyanzi, liwe mahali pa kuzikia wageni. 8Hii ndiyo sababu lile shamba likaitwa Shamba la Damu hadi leo. 9Ndipo likatimia lile lililonenwa na nabii Yeremia, kwamba, “Walichukua vile vipande thelathini vya fedha, thamani aliyopangiwa na watu wa Israeli, 10wakanunulia shamba la mfinyanzi, kama vile Bwana alivyoniagiza.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.