Mathayo 27:12
Matthew 27:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini viongozi wa makuhani na wazee walipomshtaki, hakujibu neno.
Matthew 27:12 in English
Matthew 27:12 · Berean Standard Bible
And when He was accused by the chief priests and elders, He gave no answer.
Context
10wakanunulia shamba la mfinyanzi, kama vile Bwana alivyoniagiza.” 11Wakati huo Yesu akiwa amesimama mbele ya mtawala, mtawala akamuuliza, “Wewe ndiye mfalme wa Wayahudi?”
Yesu akasema, “Wewe wasema hivyo.” 12Lakini viongozi wa makuhani na wazee walipomshtaki, hakujibu neno. 13Ndipo Pilato akamuuliza, “Je, husikii ni mambo mangapi wanayokushtaki nayo?” 14Lakini Yesu hakumjibu hata kwa shtaka moja, kiasi kwamba mtawala alishangaa sana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.