Native Bible

Matthew 27:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo Pilato akamuuliza, “Je, husikii ni mambo mangapi wanayokushtaki nayo?”

Matthew 27:13 in English

Matthew 27:13 · Berean Standard Bible

Then Pilate asked Him, “Do You not hear how many charges they are bringing against You?”

Context

11Wakati huo Yesu akiwa amesimama mbele ya mtawala, mtawala akamuuliza, “Wewe ndiye mfalme wa Wayahudi?” Yesu akasema, “Wewe wasema hivyo.” 12Lakini viongozi wa makuhani na wazee walipomshtaki, hakujibu neno. 13Ndipo Pilato akamuuliza, “Je, husikii ni mambo mangapi wanayokushtaki nayo?” 14Lakini Yesu hakumjibu hata kwa shtaka moja, kiasi kwamba mtawala alishangaa sana. 15Basi ilikuwa ni desturi ya mtawala kumfungua mfungwa mmoja aliyechaguliwa na umati wa watu wakati wa sikukuu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.