Native Bible

Matthew 26:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Inukeni, twende zetu! Tazameni, msaliti wangu yuaja!”

Matthew 26:46 in English

Matthew 26:46 · Berean Standard Bible

Rise, let us go! See, My betrayer is approaching!”

Context

44Hivyo akawaacha akaenda zake tena mara ya tatu na kuomba akisema maneno yale yale. 45Kisha akarudi kwa wanafunzi wake, akawaambia, “Bado mmelala na kupumzika? Tazameni, saa imefika ambapo Mwana wa Adamu anasalitiwa na kutiwa mikononi mwa wenye dhambi. 46Inukeni, twende zetu! Tazameni, msaliti wangu yuaja!” 47Alipokuwa bado anazungumza, Yuda, mmoja wa wale Kumi na Wawili, akafika. Alikuwa amefuatana na umati mkubwa wa watu wenye panga na marungu, waliokuwa wametumwa na viongozi wa makuhani na wazee wa watu. 48Basi msaliti alikuwa amewapa hao watu ishara, kwamba: “Yule nitakayembusu ndiye. Mkamateni.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.