Mathayo 26:44
Matthew 26:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo akawaacha akaenda zake tena mara ya tatu na kuomba akisema maneno yale yale.
Matthew 26:44 in English
Matthew 26:44 · Berean Standard Bible
So He left them and went away once more and prayed a third time, saying the same thing.
Context
42Akaenda tena mara ya pili na kuomba, “Baba yangu, kama haiwezekani kikombe hiki kiniepuke nisikinywe, basi mapenzi yako yafanyike.” 43Aliporudi, akawakuta tena wamelala kwa sababu macho yao yalikuwa mazito. 44Hivyo akawaacha akaenda zake tena mara ya tatu na kuomba akisema maneno yale yale. 45Kisha akarudi kwa wanafunzi wake, akawaambia, “Bado mmelala na kupumzika? Tazameni, saa imefika ambapo Mwana wa Adamu anasalitiwa na kutiwa mikononi mwa wenye dhambi. 46Inukeni, twende zetu! Tazameni, msaliti wangu yuaja!”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.