Mathayo 25:2
Matthew 25:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watano wao walikuwa wapumbavu na watano walikuwa wenye busara.
Matthew 25:2 in English
Matthew 25:2 · Berean Standard Bible
Five of them were foolish, and five were wise.
Context
1“Wakati huo, Ufalme wa Mbinguni utakuwa kama wanawali kumi waliochukua taa zao na kwenda kumlaki bwana arusi. 2Watano wao walikuwa wapumbavu na watano walikuwa wenye busara. 3Wale wapumbavu walichukua taa zao lakini hawakuchukua mafuta ya akiba, 4lakini wale wenye busara walichukua taa zao na mafuta ya akiba kwenye vyombo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.