Native Bible

Matthew 25:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Wakati huo, Ufalme wa Mbinguni utakuwa kama wanawali kumi waliochukua taa zao na kwenda kumlaki bwana arusi.

Matthew 25:1 in English

Matthew 25:1 · Berean Standard Bible

“At that time the kingdom of heaven will be like ten virgins who took their lamps and went out to meet the bridegroom.

Context

1“Wakati huo, Ufalme wa Mbinguni utakuwa kama wanawali kumi waliochukua taa zao na kwenda kumlaki bwana arusi. 2Watano wao walikuwa wapumbavu na watano walikuwa wenye busara. 3Wale wapumbavu walichukua taa zao lakini hawakuchukua mafuta ya akiba,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.