Mathayo 25:4
Matthew 25:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
lakini wale wenye busara walichukua taa zao na mafuta ya akiba kwenye vyombo.
Matthew 25:4 in English
Matthew 25:4 · Berean Standard Bible
But the wise ones took oil in flasks along with their lamps.
Context
2Watano wao walikuwa wapumbavu na watano walikuwa wenye busara. 3Wale wapumbavu walichukua taa zao lakini hawakuchukua mafuta ya akiba, 4lakini wale wenye busara walichukua taa zao na mafuta ya akiba kwenye vyombo. 5Bwana arusi alipokawia kuja wale wanawali wote wakasinzia na kulala. 6“Usiku wa manane pakawa na kelele: ‘Tazameni, huyu hapa bwana arusi! Tokeni nje mkamlaki!’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.