Native Bible

Matthew 25:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana arusi alipokawia kuja wale wanawali wote wakasinzia na kulala.

Matthew 25:5 in English

Matthew 25:5 · Berean Standard Bible

When the bridegroom was delayed, they all became drowsy and fell asleep.

Context

3Wale wapumbavu walichukua taa zao lakini hawakuchukua mafuta ya akiba, 4lakini wale wenye busara walichukua taa zao na mafuta ya akiba kwenye vyombo. 5Bwana arusi alipokawia kuja wale wanawali wote wakasinzia na kulala. 6“Usiku wa manane pakawa na kelele: ‘Tazameni, huyu hapa bwana arusi! Tokeni nje mkamlaki!’ 7“Ndipo wale wanawali wote wakaamka na kuzitengeneza taa zao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.