Mathayo 25:7
Matthew 25:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Ndipo wale wanawali wote wakaamka na kuzitengeneza taa zao.
Matthew 25:7 in English
Matthew 25:7 · Berean Standard Bible
Then all the virgins woke up and trimmed their lamps.
Context
5Bwana arusi alipokawia kuja wale wanawali wote wakasinzia na kulala. 6“Usiku wa manane pakawa na kelele: ‘Tazameni, huyu hapa bwana arusi! Tokeni nje mkamlaki!’ 7“Ndipo wale wanawali wote wakaamka na kuzitengeneza taa zao. 8Wale wapumbavu wakawaambia wale wenye busara, ‘Tupatieni mafuta yenu kidogo; taa zetu zinazimika.’ 9“Lakini wale wenye busara wakawajibu, ‘Sivyo, hayatutoshi sisi na ninyi pia. Afadhali mwende kwa wauzao mkajinunulie mafuta yenu.’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.