Native Bible

Matthew 25:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mmoja akampa talanta* tano, mwingine talanta mbili, na mwingine talanta moja. Kila mmoja alipewa kwa kadiri ya uwezo wake. Kisha yeye akasafiri.

Matthew 25:15 in English

Matthew 25:15 · Berean Standard Bible

To one he gave five talents,* to another two talents, and to another one talent—each according to his own ability. And he went on his journey.

Context

13“Kwa hiyo kesheni, kwa sababu hamjui siku wala saa. 14“Tena, Ufalme wa Mbinguni ni kama mtu aliyetaka kusafiri, naye akawaita watumishi wake na kuweka mali yake kwenye uangalizi wao. 15Mmoja akampa talanta* tano, mwingine talanta mbili, na mwingine talanta moja. Kila mmoja alipewa kwa kadiri ya uwezo wake. Kisha yeye akasafiri. 16Yule aliyepewa talanta tano akaenda mara moja akafanya nazo biashara akapata talanta nyingine tano zaidi. 17Yule aliyepewa talanta mbili akafanya vivyo hivyo, akapata nyingine mbili zaidi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.