Native Bible

Matthew 25:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yule aliyepewa talanta mbili akafanya vivyo hivyo, akapata nyingine mbili zaidi.

Matthew 25:17 in English

Matthew 25:17 · Berean Standard Bible

Likewise, the one with the two talents gained two more.

Context

15Mmoja akampa talanta* tano, mwingine talanta mbili, na mwingine talanta moja. Kila mmoja alipewa kwa kadiri ya uwezo wake. Kisha yeye akasafiri. 16Yule aliyepewa talanta tano akaenda mara moja akafanya nazo biashara akapata talanta nyingine tano zaidi. 17Yule aliyepewa talanta mbili akafanya vivyo hivyo, akapata nyingine mbili zaidi. 18Lakini yule mtumishi aliyekuwa amepokea talanta moja, alikwenda akachimba shimo ardhini na kuificha ile fedha ya bwana wake. 19“Baada ya muda mrefu, yule bwana wa wale watumishi akarudi na kufanya hesabu nao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.