Mathayo 25:13
Matthew 25:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Kwa hiyo kesheni, kwa sababu hamjui siku wala saa.
Matthew 25:13 in English
Matthew 25:13 · Berean Standard Bible
Therefore keep watch, because you do not know the day or the hour.*
Context
11“Baadaye wale wanawali wengine nao wakaja, wakaita, ‘Bwana! Bwana! Tufungulie mlango!’ 12“Lakini yeye bwana arusi akawajibu, ‘Amin, amin nawaambia, siwajui ninyi!’ 13“Kwa hiyo kesheni, kwa sababu hamjui siku wala saa. 14“Tena, Ufalme wa Mbinguni ni kama mtu aliyetaka kusafiri, naye akawaita watumishi wake na kuweka mali yake kwenye uangalizi wao. 15Mmoja akampa talanta* tano, mwingine talanta mbili, na mwingine talanta moja. Kila mmoja alipewa kwa kadiri ya uwezo wake. Kisha yeye akasafiri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.