Mathayo 24:35
Matthew 24:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.
Matthew 24:35 in English
Matthew 24:35 · Berean Standard Bible
Heaven and earth will pass away, but My words will never pass away.
Context
33Vivyo hivyo, myaonapo mambo haya yote, mnatambua kwamba wakati u karibu, hata malangoni. 34Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia. 35Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe. 36“Kwa habari ya siku ile na saa, hakuna ajuaye, hata malaika walio mbinguni wala Mwana, ila Baba peke yake. 37Kama ilivyokuwa wakati wa Noa, ndivyo itakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.