Mathayo 24:36
Matthew 24:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Kwa habari ya siku ile na saa, hakuna ajuaye, hata malaika walio mbinguni wala Mwana, ila Baba peke yake.
Matthew 24:36 in English
Matthew 24:36 · Berean Standard Bible
No one knows about that day or hour, not even the angels in heaven, nor the Son,* but only the Father.
Context
34Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia. 35Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe. 36“Kwa habari ya siku ile na saa, hakuna ajuaye, hata malaika walio mbinguni wala Mwana, ila Baba peke yake. 37Kama ilivyokuwa wakati wa Noa, ndivyo itakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu. 38Kwa maana siku zile kabla ya gharika, watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, mpaka siku ile Noa alipoingia katika safina.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.