Mathayo 24:34
Matthew 24:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia.
Matthew 24:34 in English
Matthew 24:34 · Berean Standard Bible
Truly I tell you, this generation will not pass away until all these things have happened.
Context
32“Basi jifunzeni somo hili kutokana na mtini: Matawi yake yanapoanza kuchipua na kutoa majani, mnatambua kwamba wakati wa kiangazi umekaribia. 33Vivyo hivyo, myaonapo mambo haya yote, mnatambua kwamba wakati u karibu, hata malangoni. 34Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia. 35Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe. 36“Kwa habari ya siku ile na saa, hakuna ajuaye, hata malaika walio mbinguni wala Mwana, ila Baba peke yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.