Native Bible

Matthew 24:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa sababu ya kuongezeka kwa uovu upendo wa watu wengi utapoa,

Matthew 24:12 in English

Matthew 24:12 · Berean Standard Bible

Because of the multiplication of wickedness, the love of most will grow cold.

Context

10Wakati huo, wengi wataacha imani yao, nao watasalitiana kila mmoja na mwenzake na kuchukiana. 11Watatokea manabii wengi wa uongo, nao watawadanganya watu wengi. 12Kwa sababu ya kuongezeka kwa uovu upendo wa watu wengi utapoa, 13lakini yule atakayevumilia hadi mwisho ataokolewa. 14Injili ya Ufalme itahubiriwa ulimwenguni kote kuwa ushuhuda kwa mataifa yote. Ndipo mwisho utakapokuja.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.