Mathayo 24:11
Matthew 24:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watatokea manabii wengi wa uongo, nao watawadanganya watu wengi.
Matthew 24:11 in English
Matthew 24:11 · Berean Standard Bible
and many false prophets will arise and mislead many.
Context
9“Ndipo mtasalitiwa, ili mteswe na kuuawa, nanyi mtachukiwa na mataifa yote kwa ajili yangu. 10Wakati huo, wengi wataacha imani yao, nao watasalitiana kila mmoja na mwenzake na kuchukiana. 11Watatokea manabii wengi wa uongo, nao watawadanganya watu wengi. 12Kwa sababu ya kuongezeka kwa uovu upendo wa watu wengi utapoa, 13lakini yule atakayevumilia hadi mwisho ataokolewa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.