Mathayo 24:13
Matthew 24:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
lakini yule atakayevumilia hadi mwisho ataokolewa.
Matthew 24:13 in English
Matthew 24:13 · Berean Standard Bible
But the one who perseveres to the end will be saved.
Context
11Watatokea manabii wengi wa uongo, nao watawadanganya watu wengi. 12Kwa sababu ya kuongezeka kwa uovu upendo wa watu wengi utapoa, 13lakini yule atakayevumilia hadi mwisho ataokolewa. 14Injili ya Ufalme itahubiriwa ulimwenguni kote kuwa ushuhuda kwa mataifa yote. Ndipo mwisho utakapokuja. 15“Hivyo mtakapoona lile ‘chukizo la uharibifu’ lililonenwa na nabii Danieli limesimama mahali patakatifu (asomaye na afahamu),
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.