Native Bible

Matthew 24:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati huo, wengi wataacha imani yao, nao watasalitiana kila mmoja na mwenzake na kuchukiana.

Matthew 24:10 in English

Matthew 24:10 · Berean Standard Bible

At that time many will fall away and will betray and hate one another,

Context

8Haya yote yatakuwa ndio mwanzo wa utungu. 9“Ndipo mtasalitiwa, ili mteswe na kuuawa, nanyi mtachukiwa na mataifa yote kwa ajili yangu. 10Wakati huo, wengi wataacha imani yao, nao watasalitiana kila mmoja na mwenzake na kuchukiana. 11Watatokea manabii wengi wa uongo, nao watawadanganya watu wengi. 12Kwa sababu ya kuongezeka kwa uovu upendo wa watu wengi utapoa,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.