Native Bible

Matthew 21:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale wanafunzi wakaenda, wakafanya kama Yesu alivyokuwa amewaagiza.

Matthew 21:6 in English

Matthew 21:6 · Berean Standard Bible

So the disciples went and did as Jesus had directed them.

Context

4Haya yalitukia ili litimie lile lililonenwa na nabii, akisema: 5“Mwambieni Binti Sayuni, ‘Tazama, mfalme wako anakuja kwako, ni mnyenyekevu, naye amepanda punda, juu ya mwana-punda, mtoto wa punda.’ ” 6Wale wanafunzi wakaenda, wakafanya kama Yesu alivyokuwa amewaagiza. 7Wakamleta yule punda na mwana-punda, nao wakatandika mavazi yao juu ya hao punda, naye Yesu akaketi juu yake. 8Umati mkubwa wa watu ukatandaza mavazi yao barabarani, na wengine wakakata matawi kutoka kwenye miti, wakayatandaza barabarani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.