Mathayo 21:4
Matthew 21:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Haya yalitukia ili litimie lile lililonenwa na nabii, akisema:
Matthew 21:4 in English
Matthew 21:4 · Berean Standard Bible
This took place to fulfill what was spoken through the prophet:
Context
2akawaambia, “Nendeni katika kijiji kilichoko mbele yenu, nanyi mtamkuta punda amefungwa hapo, na mwana-punda pamoja naye. Wafungueni na mniletee. 3Kama mtu yeyote akiwasemesha lolote, mwambieni kwamba Bwana ana haja nao, naye atawaruhusu mwalete mara.” 4Haya yalitukia ili litimie lile lililonenwa na nabii, akisema: 5“Mwambieni Binti Sayuni,
‘Tazama, mfalme wako anakuja kwako,
ni mnyenyekevu, naye amepanda punda,
juu ya mwana-punda, mtoto wa punda.’ ” 6Wale wanafunzi wakaenda, wakafanya kama Yesu alivyokuwa amewaagiza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.