Native Bible

Matthew 20:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akawahurumia na kuwagusa macho yao. Mara macho yao yakapata kuona, nao wakamfuata.

Matthew 20:34 in English

Matthew 20:34 · Berean Standard Bible

Moved with compassion, Jesus touched their eyes, and at once they received their sight and followed Him.

Context

32Yesu akasimama na kuwaita, akawauliza, “Mnataka niwafanyie nini?” 33Wakamjibu, “Bwana, tunataka kuona.” 34Yesu akawahurumia na kuwagusa macho yao. Mara macho yao yakapata kuona, nao wakamfuata.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.