Mathayo 20:33
Matthew 20:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakamjibu, “Bwana, tunataka kuona.”
Matthew 20:33 in English
Matthew 20:33 · Berean Standard Bible
“Lord,” they answered, “let our eyes be opened.”
Context
31Ule umati wa watu ukawakemea na kuwaambia wanyamaze, lakini wao wakazidi kupaza sauti, wakisema, “Bwana, Mwana wa Daudi, tuhurumie.” 32Yesu akasimama na kuwaita, akawauliza, “Mnataka niwafanyie nini?” 33Wakamjibu, “Bwana, tunataka kuona.” 34Yesu akawahurumia na kuwagusa macho yao. Mara macho yao yakapata kuona, nao wakamfuata.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.