Mathayo 20:3
Matthew 20:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Mnamo saa tatu akatoka tena, akawakuta wengine wamesimama sokoni bila kazi.
Matthew 20:3 in English
Matthew 20:3 · Berean Standard Bible
About the third hour * he went out and saw others standing in the marketplace doing nothing.
Context
1“Kwa maana Ufalme wa Mbinguni unafanana na mtu mwenye shamba aliyetoka alfajiri ili kwenda kuajiri vibarua kufanya kazi katika shamba lake la mizabibu. 2Baada ya kukubaliana na hao vibarua kuwalipa ujira wa dinari* moja kwa siku, akawapeleka kwenye shamba lake la mizabibu. 3“Mnamo saa tatu akatoka tena, akawakuta wengine wamesimama sokoni bila kazi. 4Akawaambia, ‘Ninyi nanyi nendeni mkafanye kazi katika shamba langu la mizabibu, nami nitawalipa chochote kilicho haki yenu.’ 5Kwa hiyo wakaenda.
“Akatoka tena mnamo saa sita na pia saa tisa akafanya vivyo hivyo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.