Native Bible

Matthew 20:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kwa maana Ufalme wa Mbinguni unafanana na mtu mwenye shamba aliyetoka alfajiri ili kwenda kuajiri vibarua kufanya kazi katika shamba lake la mizabibu.

Matthew 20:1 in English

Matthew 20:1 · Berean Standard Bible

“For the kingdom of heaven is like a landowner who went out early in the morning to hire workers for his vineyard.

Context

1“Kwa maana Ufalme wa Mbinguni unafanana na mtu mwenye shamba aliyetoka alfajiri ili kwenda kuajiri vibarua kufanya kazi katika shamba lake la mizabibu. 2Baada ya kukubaliana na hao vibarua kuwalipa ujira wa dinari* moja kwa siku, akawapeleka kwenye shamba lake la mizabibu. 3“Mnamo saa tatu akatoka tena, akawakuta wengine wamesimama sokoni bila kazi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.