Native Bible

Matthew 20:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya kukubaliana na hao vibarua kuwalipa ujira wa dinari* moja kwa siku, akawapeleka kwenye shamba lake la mizabibu.

Matthew 20:2 in English

Matthew 20:2 · Berean Standard Bible

He agreed to pay them a denarius * for the day and sent them into his vineyard.

Context

1“Kwa maana Ufalme wa Mbinguni unafanana na mtu mwenye shamba aliyetoka alfajiri ili kwenda kuajiri vibarua kufanya kazi katika shamba lake la mizabibu. 2Baada ya kukubaliana na hao vibarua kuwalipa ujira wa dinari* moja kwa siku, akawapeleka kwenye shamba lake la mizabibu. 3“Mnamo saa tatu akatoka tena, akawakuta wengine wamesimama sokoni bila kazi. 4Akawaambia, ‘Ninyi nanyi nendeni mkafanye kazi katika shamba langu la mizabibu, nami nitawalipa chochote kilicho haki yenu.’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.