Mathayo 18:30
Matthew 18:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Lakini akakataa. Badala yake, alienda akamtupa gerezani hata atakapolipa hilo deni.
Matthew 18:30 in English
Matthew 18:30 · Berean Standard Bible
But he refused. Instead, he went and had the man thrown into prison until he could pay his debt.
Context
28“Lakini yule mtumishi alipokuwa anatoka nje, akakutana na mtumishi mwenzake aliyekuwa amemkopesha dinari* mia moja. Akamkamata, akamkaba koo akimwambia, ‘Nilipe kile ninachokudai!’ 29“Yule mtumishi mwenzake akapiga magoti akamsihi akisema, ‘Naomba univumilie, nami nitakulipa deni lako lote.’ 30“Lakini akakataa. Badala yake, alienda akamtupa gerezani hata atakapolipa hilo deni. 31Watumishi wenzake walipoona haya yaliyotukia wakaudhika sana, nao wakaenda na kumwambia bwana wao kila kitu kilichokuwa kimetukia. 32“Yule bwana akamwita yule mtumishi akamwambia, ‘Wewe mtumishi mwovu! Mimi nilikusamehe deni lako lote uliponisihi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.